2 Kings 6:25

25 aKukawa na njaa kuu katika mji. Samaria ilizingirwa kwa muda mrefu, kiasi kwamba kichwa cha punda kiliuzwa kwa shekeli themanini
Shekeli 80 za fedha ni sawa na kilo moja.
za fedha, na robo ya kibaba
Robo ya kibaba ni sawa na lita 0.3.
cha mavi ya njiwa kiliuzwa kwa shekeli tano
Shekeli tano za fedha ni sawa na gramu 55.
za fedha.

Copyright information for SwhNEN